Ikiwa hupokei ujumbe wowote kutoka kwetu:
Hakikisha barua pepe na namba yako ya simu zimewekwa vizuri kwenye Akaunti Yangu.
Angalia kwenye spam au junk folder.
Thibitisha kuwa umewasha push notifications kwenye programu ya 888bet.
Wasiliana na Huduma kwa Wateja kama bado hupokei chochote.