Umesahau nenosiri lako? Fuata haya:
Nenda kwenye ukurasa wa kuingia, kisha bonyeza Umesahau Nenosiri?
Weka barua pepe yako au namba ya simu uliyosajili nayo.
Fuata maagizo yaliyotumwa kwa SMS au barua pepe.
Chagua nenosiri jipya na uingie tena.
Hujapokea ujumbe? Angalia spam/junk folder au jaribu tena.