Ikiwa programu ya 888bet inagandia au kufunga:

Ikiwa programu ya 888bet inagandia au kufunga:

  • Hakikisha programu yako imesasishwa kupitia App Store au Google Play.

  • Washa upya simu na jaribu tena.

  • Futa data ya programu au cache kupitia mipangilio ya simu yako.

  • Futa na sakinisha tena programu ikiwa tatizo linaendelea.

  • Wasiliana na Huduma kwa Wateja kama bado unapata hitilafu.

      • Related Articles

      • Ikiwa beti yako haitaki kufunguka au kuwekwa:

        Hakikisha tukio bado linaendelea na halijaisha. Angalia kama una muunganisho mzuri wa intaneti. Hakikisha dau lako linatimiza kiwango cha chini kinachokubalika. Jaribu kuhuisha ukurasa au kuwasha upya programu. Ikiwa tatizo linaendelea, wasiliana na ...
      • Matumizi Mabaya ya Bonasi – Wakati Gani 888bet Inaweza Kukataa au Kuondoa Bonasi Yako?

        Ikiwa tuna mashaka ya msingi kwamba mteja anatumia vibaya au anajaribu kutumia vibaya bonasi au promosheni, au anatenda kwa nia mbaya dhidi ya sera yoyote ya kamari, 888bet inaweza: Kukataa, kushikilia au kuondoa bonasi/ofa (kwa muda au kabisa) ...
      • Sijapokea Taarifa – Barua Pepe/SMS/Arifa za Programu

        Ikiwa hupokei ujumbe wowote kutoka kwetu: Hakikisha barua pepe na namba yako ya simu zimewekwa vizuri kwenye Akaunti Yangu. Angalia kwenye spam au junk folder. Thibitisha kuwa umewasha push notifications kwenye programu ya 888bet. Wasiliana na Huduma ...
      • Jinsi ya Kuweka Beti ya Michezo

        Kuweka beti kwenye 888bet Tanzania ni rahisi na haraka. Fuata hatua hizi: Ingia kwenye akaunti yako ya 888bet Tanzania. Bofya sehemu ya Michezo kwenye ukurasa wa nyumbani. Chagua mchezo unaoupenda kama Soka, Kikapu au Tenisi. Chunguza ligi au mechi ...
      • Jinsi ya Kutoa Malalamiko?

        888bet Tanzania hutetea haki ya kila mteja kuwasilisha malalamiko ikiwa anaamini kwamba huduma aliyopokea haikuwa ya kuridhisha. Sera hii imeundwa kuhakikisha kuwa malalamiko yanashughulikiwa kwa haki, ufanisi, na uwazi. ✅ Malalamiko ni Nini? ...