Jinsi ya Kutumia Cash Out

Jinsi ya Kutumia Cash Out

Cash Out inakupa udhibiti wa beti yako kwa kukuwezesha kuimaliza kabla mechi haijaisha. Unaweza:

  • Kuchukua faida mapema ikiwa beti yako iko vizuri

  • Kupunguza hasara ikiwa mambo hayaendi kama ulivyotarajia

✅ Jinsi ya kutumia Cash Out:

  1. Nenda kwenye My Bets

  2. Kama beti yako inaruhusu, utaona chaguo la Cash Out

  3. Gusa Cash Out na uthibitishe

⚠️ Si beti zote zinazopewa nafasi ya Cash Out. Angalia alama ya Cash Out karibu na beti zako zilizowekwa.

Cash Out inapatikana kwa baadhi ya beti moja moja na mkeka wa mechi nyingi.