Aviator ni mchezo wa kasi ambapo lengo ni ku-cashout kabla ndege haijaruka mbali. Ni rahisi, wa kusisimua, na unafaa kwa wanaoanza na waliobobea pia.
Weka Dau: Chagua kiasi cha dau kabla ya raundi kuanza. Unaweza kuweka dau moja au mawili kwa raundi.
Angalia Ndege Ikiruka: Ndege huanza kupaa na multiplier huongezeka.
Cash Out Mapema: Bonyeza Cashout kabla ndege haijaondoka. Ukifanya hivyo, ushindi wako = dau × multiplier.
Ukichelewa? Unapoteza raundi hiyo.
Auto Bet: Mfumo unaweka dau moja kwa moja.
Auto Cashout: Weka kiwango cha multiplier (mfano: 2.00x) kwa kutoka kiotomatiki.
Live Stats: Tazama ushindi wa wachezaji wengine.
My Bets: Fuata historia ya ushindi na hasara zako.
Anza na dau dogo kujifunza mwendo wa mchezo.
Tumia Auto Cashout kuepuka hasara kutokana na mtandao.
Usikimbilie multiplier kubwa—ushindi mdogo wa mapema ni salama zaidi.
Aviator hutumia teknolojia ya RNG (Random Number Generator) na umesajiliwa chini ya Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania.