Auto Cashout ni kipengele muhimu kwenye mchezo wa Aviator kinachokusaidia kudhibiti hatari kwa ku-cashout dau lako kiotomatiki mara tu kiwango cha multiplier ulichoweka kitakapofikiwa—even kama huangalii.
Kabla ya raundi kuanza, weka thamani ya Auto Cashout (mfano: 1.80x, 2.00x au 5.00x).
Ndege ikifikia multiplier hiyo, dau lako litalipwa kiotomatiki.
Hii hufanyika hata kama umekatika au hupo kwenye skrini.
Kuzuia hasara za kukatika kwa mtandao au kuchelewa.
Kukusaidia kufuata mkakati wako wa dau.
Ni bora kwa watumiaji wa simu au wanaofanya mambo mengi kwa wakati mmoja.
Kwenye skrini ya kuweka dau, wezesha swichi ya Auto Cashout.
Weka multiplier unayotaka.
Unaweza kuiweka kwa Dau 1 na Dau 2.
Tumia multiplier ya kati ya 1.50x–2.00x kwa dau dogo ili kujenga salio lako polepole na kwa usalama zaidi.
Auto Cashout hukupa utulivu wa akili na hurahisisha kucheza kwa busara zaidi.