Nini Maana ya Kamari ya Uwajibikaji?

Nini Maana ya Kamari ya Uwajibikaji?

Kamari ya uwajibikaji ni kufurahia kubeti kama burudani huku ukiidhibiti. Katika 888bet Tanzania tunafanya yafuatayo:

  • Tunatoa huduma kwa watu wazima pekee (miaka 18+).

  • Tunakupa zana za kuweka mipaka au kusitisha kucheza.

  • Timu yetu ya Huduma kwa Wateja imefunzwa kutambua dalili za madhara.

Dumisha udhibiti

  • Panga bajeti kabla hujaanza.

  • Pumzika mara kwa mara.

  • Usijaribu kurudisha hasara au kucheza ukiwa na msongo, umelewa au umekasirika.

Ukiona kamari haileti tena furaha, tumia zana zetu za kujisaidia au wasiliana nasi mara moja.