Jinsi ya Kuweka Amana Kupitia Selcom Huduma?

Jinsi ya Kuweka Amana Kupitia Selcom Huduma?

Selcom Huduma inakupa njia rahisi ya kuweka amana kwenye akaunti yako ya 888bet Tanzania kupitia mawakala au vituo vya malipo vya Selcom kote nchini.

🔹 Hatua za Kufuata:

  1. Tembelea wakala wa Selcom Huduma au kituo cha malipo.

  2. Mwambie wakala kwamba unataka kuweka pesa kwenye 888bet Tanzania.

  3. Toa namba ya simu uliyosajili nayo 888bet au Account ID yako.

  4. Taja kiasi unachotaka kuweka.

  5. Malipo yatafanyika kupitia kwa wakala.

  6. Utapokea SMS ya kuthibitisha mara baada ya muamala kukamilika.

💡 Kidokezo: Hakikisha umethibitisha Account ID au namba yako ya simu kabla ya kuweka ili kuepuka matatizo ya ucheleweshaji.