Ikiwa beti yako haitaki kufunguka au kuwekwa:
Hakikisha tukio bado linaendelea na halijaisha.
Angalia kama una muunganisho mzuri wa intaneti.
Hakikisha dau lako linatimiza kiwango cha chini kinachokubalika.
Jaribu kuhuisha ukurasa au kuwasha upya programu.
Ikiwa tatizo linaendelea, wasiliana na Huduma kwa Wateja.
Related Articles
Ikiwa programu ya 888bet inagandia au kufunga:
Hakikisha programu yako imesasishwa kupitia App Store au Google Play. Washa upya simu na jaribu tena. Futa data ya programu au cache kupitia mipangilio ya simu yako. Futa na sakinisha tena programu ikiwa tatizo linaendelea. Wasiliana na Huduma kwa ...
Ikiwa unashindwa kuingia kwenye akaunti yako, jaribu haya:
Hakiki jina la mtumiaji na nenosiri lako – Hakikisha hakuna makosa ya herufi. Tumia “Umesahau Nenosiri?” – Bonyeza Umesahau Nenosiri kwenye ukurasa wa kuingia. Futa historia ya kivinjari (cache) au tumia kivinjari kingine. Jaribu kutoka kwa kifaa ...
Matumizi Mabaya ya Bonasi – Wakati Gani 888bet Inaweza Kukataa au Kuondoa Bonasi Yako?
Ikiwa tuna mashaka ya msingi kwamba mteja anatumia vibaya au anajaribu kutumia vibaya bonasi au promosheni, au anatenda kwa nia mbaya dhidi ya sera yoyote ya kamari, 888bet inaweza: Kukataa, kushikilia au kuondoa bonasi/ofa (kwa muda au kabisa) ...
Jinsi ya Kuweka Beti ya Michezo
Kuweka beti kwenye 888bet Tanzania ni rahisi na haraka. Fuata hatua hizi: Ingia kwenye akaunti yako ya 888bet Tanzania. Bofya sehemu ya Michezo kwenye ukurasa wa nyumbani. Chagua mchezo unaoupenda kama Soka, Kikapu au Tenisi. Chunguza ligi au mechi ...
Nifanyeje Ikiwa Mchezo Wangu wa Aviator Utakatika?
Usijali ukikatika wakati unacheza Aviator kwenye 888bet Tanzania—mfumo wetu umeundwa kufuatilia na kulinda dau lako. Nini Hutokea Wakati Mtandao Unakatika? Kama tayari ulikuwa umeweka dau: Dau lako litaendelea kwenye raundi hiyo. Kama uliweka Auto ...