Katika 888bet Tanzania, tunachukua hatua madhubuti kuwalinda watoto. Mtoto yeyote chini ya miaka 18 haruhusiwi kufungua au kutumia akaunti ya kubeti.
Ili kuhakikisha familia yako inalindwa dhidi ya kamari kwa watoto, tunapendekeza yafuatayo:
Sakinisha programu kama NetNanny, Qustodio au zingine zinazodhibiti matumizi ya mtandao. Programu hizi huzuia tovuti za kamari kuonekana kwenye simu, tablet au intaneti ya nyumbani.
👉 Tazama orodha ya vichujio 10 bora vya mtandao kwa watoto hapa:
https://famisafe.wondershare.com/internet-filter/best-internet-filters.html
Kama wewe ni mtumiaji wa akaunti ya 888bet:
Usishirikishe jina la mtumiaji au nenosiri
Funga akaunti baada ya kila matumizi
Usihifadhi maelezo ya kuingia kwenye kifaa kinachotumiwa na wengine
Ukitilia shaka kwamba mtoto anatumia akaunti ya 888bet, tafadhali wasiliana na Huduma kwa Wateja mara moja.