1. Piga *150*00#
2. Chagua 4 - LIPA Kwa MPesa
3. Chagua 4 - Weka namba ya kampuni
4. Weka namba ya kampuni (808888)
5. Weka namba ya kumbukumbu ya malipo (888)
6. Weka kiasi (Kiasi cha chini TZS 100)
7. Weka namba ya siri
8. Chagua 1 kuthibitisha muamala
Kuweka pesa kwa Vodacom mtandaoni
1. Bonyeza kwenye wasifu wako kisha bonyeza kuweka pesa
2. Bonyeza kuweka kwa Pawapay
3. Chagua MPesa.
4. Chagua kiasi unachotaka kwa kubonyeza kitufe cha haraka au weka kiasi unachotaka (Kiasi kilicho juu ya au sawa na kima cha chini cha kuweka pesa au Kilicho chini ya au sawa na kima cha juu cha kuweka pesa) - Kima cha chini cha kuweka pesa ni TZS 100.
5. Kisha Bonyeza Malizia muamala
6. Utapokea ujumbe wa kuweka namba yako ya SIRI, utaweka namba yako ya siri kumalizia muamala.