Pumzika/Sitisha kubashiri kwa mda.
Unacheza kamari kwa raha na kufurahia kikamilifu akaunti yako ya 888BET, hata hivyo unahitaji kuangazia mambo mengine kama vile: iwe familia, marafiki, kazi, masomo, n.k. Katika hali hii chaguo la “Pumzika” ndilo linalokufaa, kama jina linavyopendekeza, Inakuruhusu kuchukua mapumziko kwenye kucheza kamari.
Kujitoa moja kwa moja.
Ikiwa unahisi kuwa kamari imechukua udhibiti wa maisha yako na unahitaji kuacha, basi hiyo ni habari nyingine. Katika hali hii, utahitaji kufunga akaunti yako/kujitoa haraka iwezekanavyo. Iwapo unafikiria kufunga akaunti yako kwa sababu tu hujaridhishwa na huduma zetu, tafadhali usichukue mapumziko, au kujitoa. Wasiliana nasi badala yake na utupe fursa ya kulishughulikia hilo.