1.Hakikisha umeandika namba yako ya simu uliyojisajili na 888bet kwa usahihi.
2.Hakikisha umeandika namba ya siri kwa usahihi
3.Tafadhali angalia muunganisho wa intaneti kwenye kifaa chako
4.Kama bado unapata changamoto hiyo tafadhali wasiliana na huduma kwa wateja kwa msaada zaidi.