1. OTP ni namba za kidigitali kwa ajili ya kuingia kwenye akaunti yako.
2. Tafadhali hakikisha kuwa una huduma ya simu ili kupata SMS kwenye namba yako ya simu yako halisi iliyosajiliwa. Namba ya simu batili haitaweza kuthibitishwa kwani huwezi kupata sms.
3.Utapokea SMS kwenye simu yako ya mkononi yenye OTP/msimbo wa siri, Ikiwa hukuipokea tafadhali wasiliana na huduma kwa wateja kwa msaada zaidi.