Ni rahisi, salama na nafuu kuweka pesa tafadhali fata hatua zifuatazo:
1. Bonyeza kwenye wasifu wako kisha bonyeza kuweka pesa
2. Bonyeza kuweka kwa Pawapay
3. Chagua mtandao wako husika - Tigo pesa, Halopesa, Airtel money au MPesa.
4. Chagua kiasi unachotaka kwa kubonyeza kitufe cha haraka au weka kiasi unachotaka (Kiasi kilicho juu ya au sawa na kima cha chini cha kuweka pesa au Kilicho chini ya au sawa na kima cha juu cha kuweka pesa) - Kima cha chini cha kuweka pesa ni TZS 100.
5. Kisha Bonyeza Malizia muamala
6. Utapokea ujumbe wa kuweka namba yako ya SIRI, utaweka namba yako ya siri kumalizia muamala.